1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania kushiriki sensa ya watu na makaazi Agosti 23

Florence Majani22 Agosti 2022

Wakati Tanzania nzima ikiwa mguu sawa kuanza zoezi la sensa ya watu na makazi Agosti 23, kumekuwa na mapokeo tofauti ya zoezi hilo kati ya makarani, wananchi na viongozi katika jiji la Dar es Salaam. Sikiliza ripoti ya Florence Majani kutoka Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/4FsvG