1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania kupigania Zimbabwe iondolewe vikwazo

21 Agosti 2019

Serikali ya Tanzania imesema kama ilivyofanya wakati wa kupigania ukombozi kusini mwa Afrika kwa kuzipiga jeki nchi za eneo hilo, ndivyo itakavyofanya wakati huu ikiwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(Sadc) kuisemea Zimbabwe ili iondolewe vikwazo.

https://p.dw.com/p/3OHb7