1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uwepo wa wakimbizi Tanzania waharibu mazingira

George Njogopa30 Agosti 2019

Serikali ya Tanzania na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR wamekubaliana kuanza kufanya tathmini ya uharibifu wa mazingira katika kambi za wakimbizi huku wakimbizi wa Burundi walioko nchini humo wakitarajiwa kuanza kurejeshwa nyumbani Septemba 1,2019.

https://p.dw.com/p/3OkRL