1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania kuanzisha mkakati mpya wa utoaji msaada wa kisheria kwa wananchi

22 Februari 2023

Tanzania kuanzisha mkakati mpya wa utoaji msaada wa kisheria kwa wananchi ili waweze kuzitambua haki zao. Katika kipindi hiki cha Kinaga Ubaga, Sudi Mnette amezungumza na Waziri wa Sheria na Katiba wa Tanzania.

https://p.dw.com/p/4NnsH