1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: wenye elimu ya darasa la saba warudishwa kazini

Sudi Mnette27 Agosti 2021

Serikali ya Tanzania imewarudisha kazini watumishi 4,380 wenye elimu ya darasa la saba ambao hawakughushi vyeti baada ya kuondolewa 2017. Aidha serikali imesema fidia na stahiki zao nyingine zinashughulikiwa.

https://p.dw.com/p/3zYp4