1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania guu moja AFCON? - MP3-Stereo

19 Juni 2023

Timu ya taifa ya kandanda ya Tanzania Tiafa Stars mnamo Jumapili ilipata ushindi wa 1-0 ilipoikaribisha Niger katika uwanja wa Benjamin Mkapa huko Dar es Salaam katika mechi ya kuwania kufuzu kwenye mashindano ya kuwania ubingwa wa mataifa Afrika AFCON. Ushindi huo umewapa matumaini mashabiki wa timu hiyo kwamba huenda wakashiriki mashindano yajayo. Msikilize Mindi Joseph.

https://p.dw.com/p/4Sld3