1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Eneo maarufu la nyama choma Arusha

1 Mei 2020

Kwa wapenzi wa nyama choma, hawakosi kulitambua eneo hili mjini Arusha Tanzania. Wanasema ndipo mahali pa kubugia nyama choma. Hebu tizama, na ukidondokwa na mate, basi fika ukajionjee mwenyewe.

https://p.dw.com/p/3cEl6