1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Bwawa la Julius Nyerere laanza kujazwa maji

George Njogopa22 Desemba 2022

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi kazi ya kuanza kujaza maji katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere huku akionya kuhusu waharibifu wa mazingira kwa kusema serikali yake haitawafumbia macho. Mradi huo umekamilika kwa zaidi ya asilimia 70. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu wa Dar es Salaam George Njogopa.

https://p.dw.com/p/4LKZx