1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaSenegal

Tangazo la kuahirishwa uchaguzi Senegal lazusha kizaazaa

5 Februari 2024

Senegal imekumbwa na mzozo mkubwa wa kisiasa baada ya rais Macky Sall kutangaza kuuahirisha uchaguzi wa urais uliopangwa mwezi Februari. Upinzani umeapa katu hatobakia madarakani na Umoja wa Afrika umeihimiza Senegal kuendelea na mipango ya uchaguzi.

https://p.dw.com/p/4c4df