1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

TANESCO yaipa Zanzibar siku 14 kulipa deni

Isaac Muyenjwa Gamba10 Machi 2017

Shirika la umeme Tanzania TANESCO limetoa siku 14, kwa wadaiwa sugu kulipa madeni yao. Mmoja wa wadaiwa sugu ni Shirika la umeme Zanzibar, ZECO. DW imezungumza na afisa uhusiano wa ZECO Salim Abdallah kujua kinachoendelea juu ya deni hilo.

https://p.dw.com/p/2YxsP