1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tajriba inatosha au kazi zinapatikana kwa kujuana Afrika?

5 Aprili 2018

Katika Sabini na Saba asilimia tunauliza katika nchi yako, ili upate kuajiriwa waajiri wanazingatia tajriba uliyo nayo au ni sharti uwe unamfahamu mtu ili kupata kazi? Sikiliza majibu ya vijana wa Kiafrika makala hii.

https://p.dw.com/p/2vX3q