1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaSenegal

Taharuki yaikumba Senegal kuelekea hotuba ya rais

3 Julai 2023

Rais wa Senegal Macky Sall baadaye leo anatarajiwa kutangaza kama atawania muhula wa tatu wa urais wenye utata. Hili likisubiriwa , kiongozi maarufu wa upinzani nchini humo Ousmane Sonko ametoa wito kwa umma kujitokeza kwa wingi kabla ya hotuba hiyo. Sonko ameandika kwenye mitandao ya kijamii kuwa lazima Wasenegal wajitokeze kupambana na utawala wa Sall. DW imezungumza na Mohammed AbdulRahman.

https://p.dw.com/p/4TMUB