1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW KIswahili: 9.10.2023

9 Oktoba 2023

Nchi nyingi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimelaani mashambulizi ya Hamas dhidi ya Israel, mashirika makubwa ya ndege yafuta safari zao kuelekea katika mji mkuu wa Israel, Tel Aviv na wapiga kura katika majimbo mawili tajiri nchini Ujerumani; Bavaria na Hesse, wamevipa ushindi vyama ndugu vya kihafidhina

https://p.dw.com/p/4XH5L