1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 31.10.2021

31 Oktoba 2021

Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom Ghebreyesus asema mataifa ya G20 yana uwezo wa kuzuia kuenea kwa janga la corona, maelfu ya watu waandamana mjini Roma Italia wakati wa mkutano wa kilele wa viongozi wa Kundi la mataifa ya G20 na waandamanaji watatu wauawa wakati wa maandamano makubwa dhidi ya mapinduzi ya kijeshi nchini sudan

https://p.dw.com/p/42ObQ