1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili; 29.08.2021

29 Agosti 2021

Vikosi vya kundi la Taliban nchini Afghanistan vyafunga uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kabul, Rais wa Marekani, Joe Biden aaapa kuendeleza mashambulio ya angani dhidi ya kundi la itikadi kali nchini Afghanistan na kundi la Taliban lasema linaunda baraza jipya la mawaziri wakati Marekani ikikaribia kukamilisha shughuli ya kuwaondoa watu

https://p.dw.com/p/3zcyX