1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 25.10.2020

25 Oktoba 2020

Ufaransa yamtaka balozi wake nchini Uturuki kurejea nyumbani kwa mashauriano, Umoja wa Mataifa watangaza kuwa nchi 50 zimeidhinisha mkataba wa Umoja wa Mataifa wa kupiga marufuku silaha za nyuklia na waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akanusha madai kwamba uuzaji wa ndege za kivita za Marekani za F-35 kwa Muungano wa Falme za Kiarabu ulikuwa sharti lililotangulia la Muungano huo.

https://p.dw.com/p/3kP7N