1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 22.05.2022

22 Mei 2022

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky asema uvamizi wa Urusi nchini humo utamalizika tu kupitia diplomasia, rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan awaonya tena viongozi wa Sweden na Finland kuhusu azma ya kujiunga na NATO na watu wawili wathibitishwa kuambukizwa homa ya nyani mjini Berlin

https://p.dw.com/p/4BgiY