1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 21.08.2022

21 Agosti 2022

Urusi yaishtumu Ukraine kwa kuwatilia sumu baadhi ya wanajeshi wake, takriban watu 32 wamekufa katika ajali mbili za barabarani Kusini Mashariki mwa Uturuki na vikosi vya usalama nchini Somalia vyamaliza mashambulio makali ya kundi la itikadi kali la al-Shabaab

https://p.dw.com/p/4FpY0