1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 20.06.2021

20 Juni 2021

Marekani yasikitika kwamba raia nchini Iran hawakuweza kushiriki katika uchaguzi huru na haki, pande zinazojadiliana kuhusu kufufuliwa tena kwa mkataba wa nyuklia wa Iran kuandaa mkutano rasmi mjini Vienna nchini Austria hii leo na maafisa nchini Ethiopia watangaza kwamba vikosi vya serikali vimewauwa mamia ya waasi wa kundi la waasi la Oromo Liberation Army (OLA).

https://p.dw.com/p/3vErB