1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaIsrael

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 18.11.2023

18 Novemba 2023

Lita 120,000 za mafuta zinahitajika kila siku ili kuendelea na shughuli za kutoa msaada wa kibinaadamu katika ukanda wa Gaza, gazeti la mtandaoni la The Moscow Times laongezwa kwenye orodha ya mawakala wa kigeni ya Urusi na Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) yatoa agizo la kuitaka Azerbaijan kuhakikisha usalama wa watu wa Armenia Nagorno Karabakh

https://p.dw.com/p/4Z7kT
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Symbolbild Weltwirtschaft Global Economy Globalisierung
Picha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago imagesPicha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago images

Asubuhi: Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Pata Taarifa ya Habari ya Asubuhi, saa 12:00 (Afrika Mashariki)