1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 17.01.2021

17 Januari 2021

Rais wa muda mrefu nchini Uganda Yoweri Museveni aonya kuwa vikosi vya usalama vitatumia nguvu kuzima juhudi zozote za kuzua ghasia baada ya kuchaguliwa kwake tena, Rais mteule wa Marekani Joe Biden kutia saini maagizo ya rais siku ya kuapishwa kwake kuwa rais wiki ijayo na waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kuandaa kongamano la mwaka huu la G7

https://p.dw.com/p/3o1kp