1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya za asubuhi ya DW Kiswahili: 14.11.2021

14 Novemba 2021

Watu watano wauawa na wengine kujeruhiwa wakati wa maandamano ya kudai utawala wa kidemokrasia nchini Sudan, wafungwa 68 wauawa na wengine 25 kujeruhiwa wakati wa makabiliano kati ya magenge ya uhalifu katika gereza la Guayas N1 nchini Ecuador na rais wa Urusi Vladmir Putin akanusha madai kwamba Urusi inasaidia kuchochea mgogoro aa kwenye mpaka kati ya Belarus na Poland

https://p.dw.com/p/42y4Q