1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 14.10.2022

14 Oktoba 2022

Wabunge nchini Iraq wamchagua rais mpya, rais wa Urusi Vladimir Putin apendekeza mpango wa kuanzisha kituo cha usambazaji wa gesi nchini Uturuki na mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Yemen awalaumu waasi wa Kihouthi kwa kushindwa kufanya upya mapatano ya kusitisha mapigano

https://p.dw.com/p/4IB0b