1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 13.09.2020

13 Septemba 2020

Takriban wanawake elfu 10 wafanya maandamano ya kelele katika mji mkuu wa Belarus, mazungumzo ya amani kati ya Kundi la Taliban na serikali ya Afghanistan yaanza nchini Qatar na waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo atoa wito wa suluhisho la kidiplomasia katika mzozo kati ya Uturuki na Ugiriki

https://p.dw.com/p/3iOPe