1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 12.09.2020

12 Septemba 2020

Bahrain yajiunga na Muungano wa falme za kiarabu katika kukubali kurejesha uhusiano wa kidiplomasia na Israeli, Umoja wa Mataifa waidhinisha azimio la kukabiliana na janga la virusi vya corona na watu wasiopungua 50 wahofiwa kufariki baada ya mgodi kuporomoka Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapo.

https://p.dw.com/p/3iMiR