Shirika la Afya WHO lauonya ulimwengu kuhakikisha virusi vya corona vinadhibitiwa ili isije ikazuka aina nyingine mpya na mbaya zaidi. Ndege ya kwanza iliyobeba raia 200 wa Afghanistan imewasili Marekani. Na rais wa Tunisia Kais Saied amesema hana nia ya kuwa kiongozi wa kidikteta.