1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Asubuhi - 29.09.2019

V2 / S12S29 Septemba 2019

Zoezi la kuhesabu kura limeanza nchini Afghanistan baada ya uchaguzi wa siku ya Jumamosi. Muungano wa Falme za Kiarabu na Bahrain zimetaka ulimwengu kuchukua hatua thabiti dhidi ya Iran. Watu 36 wamekufa kwenye ajali ya barabarani nchini China.

https://p.dw.com/p/3QQmN