1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Asubuhi 27.09.2019

V2 / S12S27 Septemba 2019

Marekani imetangaza inapeleka wanajeshi 200 na mifumo ya ulinzi katika eneo la Ghuba. Palestina imeionya Israel dhidi ya mipango ya kuchukua maeneo zaidi ya Ukingo wa Magharibi. Kiongozi wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe atazikwa katika kijiji alikozaliwa.

https://p.dw.com/p/3QJeX