1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Asubuhi - 26.10.2019

V2 / S12S26 Oktoba 2019

China na Marekani zimesema zinakaribia kufikia mkataba wa kibiashara. Idadi ya watu waliouwawa kwenye maandamano nchini Ethiopia yafikia 67. Mamia kwa maelfu ya raia waandamana nchini Chile kuipinga serikali

https://p.dw.com/p/3RygZ