1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 23.12.2017

Yusra Buwayhid
23 Desemba 2017

Umoja wa Mataifa waiwekea vikwazo vipya Korea Kaskazini. Waziri Mkuu wa Uhispania Mariano Rajoy asema yupo tayari kuzungumza na serikali mpya ya Catalonia. Rais wa Marekani Donald Trump asaini sheria mpya ya kupunguza kodi inayotajwa kunufaisha zaidi matajiri nchini humo.

https://p.dw.com/p/2prty