1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 23.09.2018

Yusra Buwayhid
23 Septemba 2018

Serikali ya Ujerumani iko chini ya shinikizo kuhusu Hans-Georg Maassen. Vatican yasema yawatambua maaskofu wa China licha ya kuteuliwa bila ya ridhaa ya Papa. Idadi ya vifo yafika 209 nchini Tanzania kutokana na ajali ya MV Nyerere, katika Ziwa Victoria.

https://p.dw.com/p/35LuN