1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 22.09.2018

Yusra Buwayhid
22 Septemba 2018

Viongozi mbalimbali duniani watuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Tanzania John Magufuli kufuatia ajali ya kivuko MV Nyerere. Baraza la Usalama kuchukua hatua kali dhidi ya askari wa kulinda amani wanaohusika na unyanyasaji wa kingono. Uturuki na Urusi wakubaliana kuweka "eneo lisilokuwa na shughuli za kijeshi" huko Idlib, Syria.

https://p.dw.com/p/35KBR