Raia wa Ethiopia wapiga kura leo katika uchaguzi uanonadiwa na serikali kuwa ni wa kwanza ulio huku na wa haki. Chama cha Ufaransa cha mrengo wa kulia cha Marine Le Pen kimepata pigo kubwa kwenye duru ya kwanza ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Na Njia kuu inayounganisha miji ya mashariki na magharibi mwa Libya imefunguliwa tena.