1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 19.07.2017

Yusra Buwayhid
19 Julai 2017

Venezuela yaapa kuiandika tena katiba ya nchi licha ya kitisho cha Rais wa Marekani Donald Trump cha kuiwekea vikwazo. Waasi wa Ukraine watangaza kuunda taifa jipya. Wahadhiri wa vyuo vikuu Kenya wasitisha mgomo wa wiki mbili.

https://p.dw.com/p/2glXc