1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Asubuhi: 18.11.2022

18 Novemba 2022

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yatuma ndege za kivita na vifaru dhidi ya waasi wa M23. Takriban watu 21 wamekufa katika ajali ya moto katika Ukanda wa Gaza. Taasisi ya Bill Gates yaahidi dola bilioni 7 kwa ajili ya afya na kilimo barani Afrika.

https://p.dw.com/p/4JijQ