1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Asubuhi 18.05.2017

Caro Robi
18 Mei 2017

Mkurugenzi wa zamani wa shirika la upelelezi FBI Robert Mueller ameteuliwa kuongoza uchunguzi kuhusu madai kuwa Urusi iliingilia uchaguzi wa Rais//Merkel aionya Uingereza kuhusu uhuru wa raia wa Ulaya kuingia nchini humo//Marekani yaonya Venezuela huenda ikawa kama Syria.

https://p.dw.com/p/2d8rM