1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 18.03.2018

Yusra Buwayhid
18 Machi 2018

Raia wa Urusi wapiga kura leo, katika uchaguzi wa rais huku rais aliye madarakani Vladimir Putin akitegemewa kushinda muhula wa nne. Ripoti ya wabunge wa Uingereza yasema nchi hiyo inapaswa kuzingatie kuahirisha mchakato wa Brexit wa kujitoa Umoja wa Ulaya. Rais wa Mauritius Ameenah Gurib Fakim ajiuzulu jana.

https://p.dw.com/p/2uXIf