1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 17.03.2018

Yusra Buwayhid
17 Machi 2018

Wasyria walikimbia eneo la mashariki mwa Ghouta wakati mashambulizi ya serikali yakiongezeka. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron wajadili mageuzi katika Umoja wa Ulaya. Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma akabiliwa na mshataka ya rushwa.

https://p.dw.com/p/2uV16