1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za Asubuhi: 14.02.2021

14 Februari 2021

Baraza la seneti nchini Marekani lamuondolea mashataka rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump, waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson anapanga kutoa wito kwa mataifa tajiri zaidi duniani kuungana katika dhamira moja kubwa ya kupata chanjo za virusi vya corona na waziri wa afya nchini Guinea Remy Lamah asema watu wanne wamefariki nchini humo kutokana na ugonjwa wa Ebola

https://p.dw.com/p/3pKct