1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za Asubuhi 12.01.2021

V2 / S12S12 Januari 2021

VIDOKEZO: Wademocrat wafungua rasmi mashtaka bungeni kumuondoa Trump madarakani.// FBI wakionya kuhusu mipango ya maandamano. // Uganda yaishutumu Facebook kwa kuingilia uchaguzi wa rais, baada ya kampuni hiyo kufunga akaunti kadhaa zinazohusishwa na serikali kwa kampeni.// Shirika la Afya Duniani laonya kuwa huenda kinga imara dhidi ya COVID-19 isipatikane mwaka huu licha ya chanjo

https://p.dw.com/p/3no3e