1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Asubuhi 11.12.2016

Yusra Buwayhid
11 Desemba 2016

Watu 15 wauawa katika milipuko miwili ya mabomu Istanbul. Kundi la IS laukamata tena mji kihistoria wa Palmyra nchini Syria. Na, lori la kubebea mafuta lawaka moto nchini Kenya na watu 30 kuuawa.

https://p.dw.com/p/2U5rW