1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Asubuhi 07.10.2016

Caro Robi
7 Oktoba 2016

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lamteua rasmi Antonio Guterres kuwa Katibu mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa,Kimbunga kwa jina Matthew chasababisha vifo vya takriban watu 300 Haiti na mamilioni kuagizwa kuhama Marekani, Burundi yatangaza ina mipango ya kujiondoa kutoka mahakama ya kimataifa ya ICC.

https://p.dw.com/p/2QzbC