1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Asubuhi 03.12.2016

Yusra Buwayhid
3 Desemba 2016

Rais mteule wa Marekani, Donald Trump avunja itifaki za kidiplomasi za muda mrefu kwa kuzungumza na Rais wa Taiwan kwa njia ya simu. Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, atangaza msaada kwa Aleppo. Na, mji mkuu wa Libya, Tripoli, watikiswa kwa fujo za makundi hasimu.

https://p.dw.com/p/2Tfwx