1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Asubuhi - 03.11.2019

V2 / S12S3 Novemba 2019

Mkutano wa kilele wa viongozi wa mataifa ya ASEAN waingia siku ya pili nchini Thailand. Kundi linalojiita Dola la Kiislamu limedai kuhusika na shambulizi kwenye kambi ya jeshi nchini Mali. Italia imewakamata watu 19 wanaoongoza biashara ya dawa za kulevya.

https://p.dw.com/p/3SOEf