1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Asubuhi 02.12.2016

Yusra Buwayhid
2 Desemba 2016

Rais wa Ufaransa Francois Hollande, ametangaza kutowania muhula wa pili wa urais katika uchaguzi wa mwakani. Umoja wa Mataifa na Urusi zapendekeza kufunguliwa njia za kutuma misaada Aleppo. Na, Umoja wa Mataifa waiomba radhi Haiti kwa jukumu lake la kusambaza maambukizi ya ugonjwa wa Kipindupindu nchini humo.

https://p.dw.com/p/2Tbz4