1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi Jumamosi

Sylvia Mwehozi
18 Februari 2023

Idadi ya watu waliofariki nchini Uturuki pekee kutokana na tetemeko la ardhi yakaribia kufika elfu 40,000. Washirika wa nchi za magharibi waapa msaada zaidi kwa Ukraine. Na ukosefu wa usalama na chakula ni ajenda zinazotawala mkutano wa kilele wa Umoja wa afrika.

https://p.dw.com/p/4Ng5o