1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 30.06.2017

Sylvia Mwehozi
30 Juni 2017

Tuliyo nayo: Jimbo la Hawaii nchini Marekani lataka ufafanuzi zaidi juu ya marufuku ya kusafiri. Polisi Ufaransa wanamshikilia mwanaume mmoja aliyetaka kuushambulia msikiti mjini Paris. Na Baraza la Usalama limekubaliana kupunguza askari wa kulinda amani Sudan.

https://p.dw.com/p/2ffWG