1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 26.11.2020

V2 / S12S26 Novemba 2020

Ulimwengu wa soka duniani waomboleza kifo cha Maradona. Rais wa Marekani Donald Trump amemsamehe Michael Flynn, aliyekuwa mshauri wake wa zamani na ambaye alikiri kusema uongo mbele ya FBI. Rais wa China Xi Jinping ampongeza Biden kwa ushindi wa urais

https://p.dw.com/p/3lqBc