1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 25.10.2016

Yusra Buwayhid
25 Oktoba 2016

Ufaransa yakamilisha siku ya kwanza kuwahamisha wahamiaji kutoka kambi ya muda ya Calais. Urusi yakataa kurefusha usitishwaji wa mapigano mjini Aleppo, Syria. Na, Rais wa Korea Kusini ataka kuwepo mihula miwili ya urais, nchini humo,

https://p.dw.com/p/2Rf2M