1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya Asubuhi 25.08.2019

V2 / S12S25 Agosti 2019

Jeshi la Israeli lashambulia maeneo ya karibu na mji wa Damascus nchini Syria jana usiku, ghasia zazuka kati ya mamia ya waandamanaji na vikosi vya kiusalama karibu na eneo la mkutano na polisi mjini Hong Kong wasema kuwa wamewakamata watu 29 baada ya ghasia ya usiku kucha.

https://p.dw.com/p/3ORco